Job Opportunities

IMG_5365.jpg

OFFICE ADMINISTRATOR / FINANCE ASSISTANT

Neema House Tanzania is seeking a full-time Office Administrator / Finance Assistant to be based in Geita, Tanzania to support the administrative functions of a small non-profit.

Job Responsibilities

 • You must be able to work independently in an office setting as well as part of a team

 • You are able to manage working on multiple tasks and balance your time in an efficient manner to complete both regular duties and other immediate tasks when necessary

 • You can understand the overall vision of the organization while skillfully manage the details of the job and helping the management team

 • You will be an important member of the Neema House Tanzania team, supporting the Directors, Managers, and other staff members

 • You will be responsible for various office tasks, including but not limited to:

  • Managing records for outreach program data and project costs

  • Preparation of official organization communication (e.g., letters, contracts, notices) for both internal and external purposes

  • Manage and maintain accurate records for cash and payments

  • Filing and recording of all payments, timely recording of transactions, cash management, banking, payroll submissions, government payments, etc.

 • Assist in preparation of regular organization performance reports (monthly, quarterly, annually)

 • Provide support to management team 

 • Other tasks as assigned

What we are looking for

We are looking for a motivated, passionate individual who is willing to work on a variety of office related tasks and do what it takes to help our organization be successful.

Basic Reqiurements

 • Work or volunteer experience in a similar position (office administrator / manager with increasing levels of responsibility)

 • Certificate / Training in related field, Bachelor’s degree preferred

 • Experience with computers and software (MS Office, Google Docs) preferred

 • Language: Good written and spoken English and Kiswahili

 • Ability to maintain confidential and sensitive information

  • Must be able to work independently, manage multiple tasks, collaborate with a team, be persistent and work under tight deadlines with minimal supervision

  • Results-oriented, responsible and strong attention to detail

  • Can develop and / or learn new processes/systems quickly, and embraces the challenge of unfamiliar tasks.

  • Use sound judgment about when to take action and when to seek guidance.


CV’s must be received by 24 APRIL 2019

You may send CV’s to info@neemahouse.org

or

Neema House Tanzania

SLP 42

Geita, Tanzania


NAFASI YA KAZI YA OFISA UTAWALA/ MHASIBU MSAIDIZI

Neema House inatafuta mwajiriwa wa kudumu kwa nafasi ya Ofisa Utawala/ Mhasibu msaidizi kufanya kazi Geita, Tanzania kusaidia shughuli za kiutawala kwa shirika dogo lisilo la faida.

Majukumu ya kazi

>Anayeweza kufanya kazi peke yake bila uangalizi katika mazingira ya ofisini na pia kama sehemu ya timu

>Mwenye uwezo wa kukamilisha majukumu tofauti kwa kuzingatia muda kukamilisha majukumu yale ya kawaida na yale ya dharula yanapojitokeza.

>Anayeweza kuelewa mtazamo mzima wa Shirika wakati akitimiza kwa ueledi majukumu yake ya kazi na kusaidia timu nzima ya uongozi/ utawala.

>Atakayeweza kuwa mshiriki muhimu wa timu ya Neema House Tanzania, kwa kuwasaidia Wakurugenzi, Mameneja, na Wafanyakazi wengine.

>Atakayewajika kwa majukumu mbalimbali ya kiofisi, ambayo ni pamoja na:-

i) Kusimamia kumbukumbu za takwimu za program za nje (outreach program) na gharama za miradi.

ii) Uandaaji wa mawasiliano ya kiofisi ya Shirika (kama vile barua, mikataba, notisi) kwa masuala ya ndani na nje.

iii) Kusimamia na kutunza kumbukumbu sahihi  fedha na malipo. 

iv) Kujaza na kutunza kumbukumbu za malipo yote, kuweka kumbukumbu ya miamala kwa muda sahihi, kutunza fedha, masuala ya kibenki, kuwasilisha malipo ya mishahara, malipo ya kiserikali n.k

>Atakayesaidia kuandaa taarifa za kawaida za utendaji wa Shirika (za mwezi, robo mwaka na mwaka).

>Kusaidia timu ya uongozi katika utendaji kazi.

>Majukumu mengine kadri yatakavyojitokeza.

Mtu tunayemtafuta

Tunatafuta mtu mwenye nia na ari ambaye yuko tayari kufanya kazi za kiofisi na kufanya kile kitakachohitajika kusaidia Shirika kuendelea zaidi.

Sifa muhimu:

>Mwenye uzoefu wa kazi ama kujitolea katika nafasi sawa na hii (Utawala/ Meneja mwenye majukumu sawa ama zaidi ya haya).

>Mwenye cheti/ Mafunzo katika nafasi husika, mwenye Shahada atapewa kipaumbele.

>Mwenye ujuzi wa kutumia kompyuta na program zake (MS Office, Google Docs) atapewa kipaumbele.

>Mwenye uwezo wa kuongea na kuandika Kingereza na Kiswahili kwa ufasaha.

>Mwenye uwezo wa kutunza siri na taarifa muhimu.

>Anayeweza kufanya kazi peke yake, kukamilisha majukumu tofauti, kushirikiana na timu, mvumilivu na uwezo wa kukamilisha kazi kwa muda uliopangwa bila usimamizi/ kwa usimamizi mdogo.

>Mwenye kuleta matokeo chanya, mwajibikaji na msikivu.

>Anayeweza kuendeleza au kujifunza mambo au mfumo mpya kwa haraka na kupokea changamoto za majukumu asiyoyaelewa.

>Mwenye kutumia maamuzi sahihi ya wakati gani wa kuchukua hatua na wakati gani wa kuhitaji usaidizi.

 Unaweza kutuma CV’s zako kupitia barua pepe ya info@neemahouse.org au kutuma maombi kwa anuani hii:

Neema House Tanzania,

S.L.P 42

Geita, Tanzania.

 Mwisho wa kutuma Maombi ni Tarehe 24/04/2019